Wito Wa Asasi Za Kiraia Kuhusu Hali Ya Usalama Wa Raia Haki Za Binadamu Na Utawala Wa Sheria Nchini

UTANGULIZI Sisi Asasi za Kiraia tulioweka sahihi katika Waraka huu, kwa umoja wetu tumesikitishwa sana na vitendo vya ukiukwaji wa haki za binadamu, utawala wa sheria na usalama wa raia vinavyoendelea hivi sasa hapa nchini. Asasi za Kiraia (Civil Society Organizations) ni taasisi huru zilizoundwa kwa mujibu wa sheria mbalimbali nchini. Taasisi hizi zinatekeleza majukumu

Continue reading